Poems

By Sungu Oyoo

Where were you,
When in 2010,
We voted in a New Constitution?
We the people,
Demanded a break from the past…

Where were you?
When the volcanoes erupted,
Forming beautiful lands,
And rich soils that multinationals crave for?

Where were you?
When at Wagalla they lined people on the airstrip.
Shot and maimed them
And made them speak of that chapter in hushed tones…
“What is justice without truth?”

Where were you
When they conspired to grab Karura
And women stood firm
Their connection to mother earth unshakable
Bold African women on the frontlines

Where were you
When teachers demanded dignified wages
And boycotted teaching
When roads became bribe collection centres
And ultimate deathtraps
All those lives lost, all these children orphaned

Where were you
When the youth
The majority disenfranchised
Were denied a future
When they moved by night, and got shot by daybreak
Africa weeps!

Where were you
When it was time to speak for the stifled
Those whose voices were muffled
You impersonated the blind,
And pretended not to see
We see that which you saw

Where were you
When in 2010
We voted in a new constitution
We the people
Demanded justice and freedom
Those demands exist today

By Monaja

Ilikuwa nineteen ninety, baada ya Ouko kukangwa
Kiasi kidogo kabla machafuko kuanza,
Serikali ya Nyayo ilisababisha vituko majanga,
Kudhulumu raiya ikitarajia wao kunyamaza,
Ni ukweli gava ya Kenyatta ilidhulumu wajaka,
But still Jaramogi alishikanisha watu wa Nyanza,
Na wa Central na wengine pia wa kupambana
Dhidi ya utawala wa Nyayo, walikataa kunyamaza (wakidai)

Saba, Saba, Saba, Saba, Saba, Saba,
Saba, Saba, Saba, Saba, Saba Saba,
Saba, Saba, Saba, Saba, Saba, Saba,
Saba, Saba, Saba, Saba, Saba, Saba

Turudi nyuma kiasi 78 kifo ya Unyato,
Moi akachukua nafasi yake ye akawa Orezo,
Ikumbukwe alikuwa na support ya gava ya Otato,
Juu walikuwa wanataka mtu hapo mwenye wangecontrol,
Akiingia ye kuna venye alikuwa anapendwa,
Kidogo ubaya wake ukaanza kujionyesha,
Vile mraiya zilianza kuwa na ukosefu wa pesa,
Same time Moi na mabeshte wake wakijiosesha,
Majaribio ya mapinduzi akaanza kuyashuhudia,
Maziwa kuchemka akaeka kifuniko juu ya sufuria,
83, 84 vifungo, mauaji ya Wagalla,
85,6,7 Mwakenya wakaanza kukamatwa,
88 kuibwa kwa kura za mlolongo,
89 mateso ya Nyayo house hayakuzima moto,
1990 wakabomoa nyumba za watu kule Muoroto,
Same year wananchi wakadai hata sisi si kidogo

Saba, Saba, Saba, Saba, Saba, Saba,
Saba, Saba, Saba, Saba, Saba Saba,
Saba, Saba, Saba, Saba, Saba, Saba,
Saba, Saba, Saba, Saba, Saba, Saba

Ka hukuwa na copy Saba Saba ilitoka kwa watanzania,
Wazae wetu wakatumia jina time wakiwaza njia,
Ya kupambana na gava yenye ilifanya wengi kuumia,
Saa ni wakati kuchukulia penye wazae waliachia,
Ni ukweli uhuru wa kuongea walichangia pakubwa,
But walitegemea wanasiasa baadaye wao wakuzwa,
Uongeze ganji za NGO nazo zikisukuma,
Agenda za nchi za ulaya kupitia mlango wa nyuma,
Agenda zile zile zinazoskuma BBI,
Swali tunafaa kujiuliza ni sisi why,
Hao wasee hutubeba ufala na hii haifai,
Kitu ka hii ingekataliwa na kina Miss Maathai
Msishangae tukibaki kuwa watumwa wao,
Tuna mkokoteni zetu but tunaskuma zao,
Reli tunalipia na madeni inapitia kwao,
Wanatumia gava ya Kenya kujiundia mathao

Saba, Saba, Saba, Saba, Saba, Saba,
Saba, Saba, Saba, Saba, Saba Saba,
Saba, Saba, Saba, Saba, Saba, Saba,
Saba, Saba, Saba, Saba, Saba, Saba

Related Posts